Msaada wenu kuhusu hii TRA

Msaada wenu kuhusu hii TRA

Twachie

New Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Members,tarehe 22 Aug 2014 nililipa motor licence kiasi cha Tshs.190,000/=..na niliuliza Ni kiasi gani natakiwa kulipa kwa kutumia simu ,na nikalipa kiasi hicho kwa mpesa . Chakushangaza recept yakwenye ile stiker inaonesha Tshs.180,000/=.nimewauliza alienipa nae akanidirect kwa mhasibu,nae anashangaa ka Mimi..nimekaa zaidi ya lisaa ILA sikupewa maelezo yakujitosheleza..ila nkawaambia hiyo naitafsiri ka wizi,Tra ya mwenge!!naomba msaada wenu kuhusu halo hii au nifanyeje kwani kunauwezkano WA tra kujipatia fedha isivyo,haki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom