Hivi nikitaka eneo flani liweze kuonekana kweny google map nafanyaje? Mfano nyumba au mtaa then mtu akisearch kwenye google map anaiona hyo nyumba au mtaa. Msaada wenu wadau
Google Maps ni software ambayo inakuwezesha kufika eneo au kulitambua eneo kwa kutumia simu yako - inakuonesha umbali na aina ya usafiri unaoweza kutumia. Pia Uki ZOOM itakuonesha jengo au nyumba lakini hutumika vizuri zaidi kwenye miji iliyopimwa vizuri na kupewa namba za mitaa kama kule Ulaya na kwingineko.
Nimeweza Chief Maker,,
Ishu ilikua setting tu,, nilikua sijatiki Automatic Time Zone
Afu kuna ile ishu nilikutonyaga ya galaxy a7 kustack na kuzima mpk chaji iishe ndo ukiichaji upya inawaka. Kumbe awamu hii ilistak ikiwa iko kwny sleep ndo maana ikanichanganya ila nilipokaa after a day nilipoichaji ikawaka