N NYAMONGO KWETU Member Joined Dec 18, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Dec 21, 2014 #1 Kuna mtu aliweka cm kwangu nokia 105 nikampa hela kisha akatokomea yapata miezi 2 sasa ila nikiwasha inaomba security code . Huduma ya kuflash ipo umbali wa 192 km nifanyeje.
Kuna mtu aliweka cm kwangu nokia 105 nikampa hela kisha akatokomea yapata miezi 2 sasa ila nikiwasha inaomba security code . Huduma ya kuflash ipo umbali wa 192 km nifanyeje.