anderson mbonika
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 110
- 51
Jamani wanajamiii ninavifaranga vya kuku wa kienyeji. Navifuga huu ni mwezi wapili tokea vitotolewe lakini sasa kunaugonjwa umejitokeza ndugu zanguni ugonjwa huu umewafanya wanakua kama wamekunywa kinywaji chenye alcohol wanalua wamelewa. Eti jamani nitumie dawa gani ili kuwanusuru.