Msaada wenu jamani wanajamii vifaranga vyangu vinaangamia

anderson mbonika

Senior Member
Feb 28, 2017
110
51
Jamani wanajamiii ninavifaranga vya kuku wa kienyeji. Navifuga huu ni mwezi wapili tokea vitotolewe lakini sasa kunaugonjwa umejitokeza ndugu zanguni ugonjwa huu umewafanya wanakua kama wamekunywa kinywaji chenye alcohol wanalua wamelewa. Eti jamani nitumie dawa gani ili kuwanusuru.
 
Haukuwapa chanjo na pia banda lina usafi mkuu kwa msada zaid muone vertnary officer wa karibu yako
 
Back
Top Bottom