THE ONETATUS Member Joined Oct 2, 2012 Posts 29 Reaction score 9 Jul 28, 2013 #1 Ninatumia samsung galaxy s3 lte, hivi hii sim haina Fm radio au mimi ndo sijui inapatikana wapi?? Naomba mnisaidie majibu wanaoifahamu vizuri hii sim..
Ninatumia samsung galaxy s3 lte, hivi hii sim haina Fm radio au mimi ndo sijui inapatikana wapi?? Naomba mnisaidie majibu wanaoifahamu vizuri hii sim..