Hapa soln inabidi uimalizie kupiga Windows vizuri na udelete ya zaman from local dick C...au Fanya recovery kwa kama unapiga windows itaresolve hyo issue.yangu pia huwa unaleta hayo mapicha picha bt huwa nalitatua hivi nafanya kama napiga windows mpya ikifikia sehemu ya kuformat na kudelete windows ile ya zamani ili niweke mpya na cancel kisha naizima mashine na niiwasha huwa inawaka mpaka mwisho, mimi mashine yangu huwa inaleta mapicha hayo kama nitaitumia mpaka charge iishe na kusababisha mashine ijizime yenyewe au kama nitaizima kupitia button ya powerOff wakati sijazifunga baadhi ya program mfano vlc ikiwa ina play kisha nami nikailazimisha kuioff kwa kutumia Button ya PowerOff
Nashukuru mkuu sory kwa kucjelewaa kujibu lakini.Tatizo hilo ulipokua unatumia Windows 7 limeanza lini?
Kuanzia ulipopiga windows 10 tatizo lilikua n shortcut viruses that's y setting ilikua haifunguki..
Check pia ni OS 64 bit or 32 bit...
Then piga Windows upya..ukihitaji activation keys za windows 10 msaada utapata.
Post sent using JamiiForums mobile app
Asante mkuu ngoja niifanyie kazi pia hii ideayangu pia huwa unaleta hayo mapicha picha bt huwa nalitatua hivi nafanya kama napiga windows mpya ikifikia sehemu ya kuformat na kudelete windows ile ya zamani ili niweke mpya na cancel kisha naizima mashine na niiwasha huwa inawaka mpaka mwisho, mimi mashine yangu huwa inaleta mapicha hayo kama nitaitumia mpaka charge iishe na kusababisha mashine ijizime yenyewe au kama nitaizima kupitia button ya powerOff wakati sijazifunga baadhi ya program mfano vlc ikiwa ina play kisha nami nikailazimisha kuioff kwa kutumia Button ya PowerOff
Kwanza sio kweli kwamba macbook zinatumia ios.Kwanini usinunue MACBOOK AIR OR PRO, hii ni apple brand ina IOS,huhitaji kupiga hayo ma-windows binasfi natumia ios iko poa sana JARIBU.....U'LL NEVER REGRET
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Nini tena hiihttp://www.tamisemi.go.tz/noticeboa...-Ualimu-2017/ACSEE2017/indexfiles/index_m.htm
Post sent using JamiiForums mobile app
Nope, HDD is not a problem here.Jaribu kwa kubadili hdd kwanza uone kama tatizo litaisha.
Nina laptop yangu wakuu imezingua upande wa kushusha window, mwanzo nilikuwa natumia window 10 ikaleta shida kidogo ya kutokubali kuingiza program na setting ikawa haifunguki nikashauriwa nibadili window nikampa mtaalam wa anisaidie kushusha akashusha window 7 lakini hapa pc ipo tu haifunguki hadi mwisho inawaka tu na kuzima na kuwaka bila kufika kwenye menu. Pc ni ASUS
Msaada wenu wakuu mwaminifuhalisi na wengine karbuni.
Natanguliza shukrani.
Nimefanikiwa mkuu shukrani,ikiwa nitapitia changamoto nyingine nitakucheki
Dah nimecheka sana yaanUmefanikiwa kutatua tatizo?
Kama bado
Tucheki +255 675 803 318 whatsApp