CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hellow....
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???
Dada H C/O charminglady!!!!!
Ila nimependa tu upo straight,sio ooh narafiki yangu ana rafiki yake.........
Dah!Ningekushauri lakini hata sijui hiyo kitu.Lakini tatitzo ukitumia wewe yeye ndo tatizo au unataka atumie?
'
Au sijaelewa?
Ila nimependa tu upo straight,sio ooh narafiki yangu ana rafiki yake.........
Akitumia yeye....
Aoge tu vizuri. Ya nini kutumia makemiko?
Mwambie aogee mbuni apake vaseline basi aachane na deodorant!!!
Na hili joto la dar mtu asipopaka deodorant utamkimbia.... Anakuwa na harufu kama beberu!!!
Apake Vaselini.kwapani au???
Atumie product za oriflame. Wanayo ambayo haina harufi sana.
Hellow....
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???
Dada H C/O charminglady!!!!!
mbna weng 2 hawa2mii na hawanuki na wapo dar!
Kama hana maradhi yanayosababisha mwili kuoa harufu baada ya kutoa jasho anaweza kutumia medicated soap kisha kujipaka lotion yenye manukato ya mbali sana.
'
Pia awe anajitahidi kuoga mara nyingi awezavyo!