Msaada Watanzania wenzangu

Nampenda kwa dhati lakin nikimuambie anasema mimi ni walewale.

Sasa mimi nashindwa kujua kauli "walewale" humaanisha nin.

Anaejua anisaidie basi.

Maana yake hii hapo pata ujumbe kamili hapa..

 
Last edited by a moderator:
Nampenda kwa dhati lakin nikimuambie anasema mimi ni walewale.

Sasa mimi nashindwa kujua kauli "walewale" humaanisha nin.

Anaejua anisaidie basi.

Kwa nini hukumuuliza yeye?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
..probably. nasema tu probably ameshatendwa sana, hana imani na wewe, kama wale kumi waliokwisha mtumiavna kumtema..au....

au labda ndo walewale wasioweza kumridhisha, wapo wanawake wasiofika kileleni kirahisi, wanahitaji vijana hasa kuweza kuifanya kazi...au...

au labda huna pesa, ndo walewale wasiokuwa na pesa, amekuwa na majamaa kumi yote hayakuwa na pesa, na wewe ndo walewale...au...
au....
 
Huyo keshadanganywa before na aliumia sana. Kama umempenda itabidi umvumilie mpaka aanze kukuamini itachukua muda
*once bitten; twice shy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…