Msaada watalaam wa katiba na sheria+ wajuaji

Msaada watalaam wa katiba na sheria+ wajuaji

Yasser5

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
207
Reaction score
17
Nimesoma katika gazeti la jambo leo la nyuma kidogo

KUFURU TUME YA KATIBA
o Kila mjumbe analipwa million Tsh 294
o Waziri Chikawe asema hizo ni "Vijisenti" wanazolipwa
o hofu yatwala kama posho nono hazito wapofusha
o Jaji Warioba na Profesa Baregu wapata kigugumizi
source jambo leo
maswli yangu kwa wataalamu wa katiba na sheria
1.Hivi tunahitaji mda gani na mchakato gani ulio bakia ili katiba yetu ikamilike?
2.Maoni yamekusanywa ni mengi utajuaje kama maoni yako yamezingatiwa kwa usawa na yamefanyiwa kazi?

Kwenu wana jamvi ni mimi mwanafunzi
 
Back
Top Bottom