Msaada wataalamu wa smartphone

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,146
Reaction score
40,912
Salaam wakuuu...
Ninatumia simu aina ya BlackBerry 9800....kuna dogo nilimpa anishikie mara moja...huku JF application ikiwa hewani..lakini cha ajabu aliponikabidhi simu yangu....kila nikifungua JF haifungui isipokuwa inaniletea ujumbe unaosema....APN settings not seen to be correct...tatizo linaweza kuwa nini wakuu.....?
Nahitaji msaada wenu ili nami niweze kuperuzi JF....na tatizo hilo lipo kwenye JF application pekee....
 
tatizo halipo kwenye iyo application ya jf bali tatizo lipo kwenye setting za internet, Apn haihusiani na jf aplication hivyo cha kukushaur check iyo APN kama iko vzr na kama haiko vzr iyo ndio ya kurekebisha, binafs skushaur u download jf nyingine, sababu kama APN haiko sawa ata internet huwez ku access
 
Mkuu tatizo lipo katika APN yako, jaribu hivi;


  • 1. Touch All.
  • 2. Scroll to and touch Options.
  • 3. Touch Device.
  • 4. Scroll to and touch Advanced System Settings.
  • 5. Touch TCP IP.
  • 6. The APN settings are displayed. Make your changes(Jaza APN kutokana na mobile service provider wako mf; tigo au vodacom), then touch the Menu key.

  • 7. Touch Save.

  • 8. The changes have been saved.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…