Msaada:Wataalamu wa computer naombeni ujuzi na ushauri

Msaada:Wataalamu wa computer naombeni ujuzi na ushauri

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,612
Nina laptop yangu dell latitude 13 HDD 320,RAM 2GB.Nilimwachiaga Dogo akawa anatumia kidogo wakati nimesafiri kidogo nilipprudi nkakuta window imecorrupt nkapiga window upya .

Tatizo limekuja baada ya kupiga window sikuformat Ila data niliziweka windowold nimebackup hazikubali kutokea nimetumia eususe imeshindikana.

Tatizo la pili local disc E hakubal kufunguka inanionesha kwamba "system reserved" siwezi kuweka chochoto.

Nifanyeje ili iweze kurudi normal ndugu zangu wataalamu
 
Hawa wadogo zetu bana ni shida sana. Nakumbana na tatizo kama hili na nimeambiwa dawa ya kutibu tatizo ni kubadilisha hard disk kbs daah
 
Hawa wadogo zetu bana ni shida sana. Nakumbana na tatizo kama hili na nimeambiwa dawa ya kutibu tatizo ni kubadilisha hard disk kbs daah
Sasa hiyo hasara vipi ningeweza kupata data zangu ingekuwa angalau make tofaut na data recovery no where I can get it
 
Sasa hiyo hasara vipi ningeweza kupata data zangu ingekuwa angalau make tofaut na data recovery no where I can get it
1. Boot your PC into safe mode!
Hujui uliza! Au
2. Nunua sata to USB connector, uiconnect hard disk yako kwa PC nyingine kama external harddisk ucopy vitu vyako!
Usisite kuuliza mkuu kama hujaelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafanye Data recovery mkuu
Kama kompyuta yako siyo mpya, yaani used, acha kuinstall windows operating systems, windows Os nyingi ukiacha windows 2000 na windows XP, are resource hungry kuanzia RAM hadi HDD. Install Linux distro yeyote, nashauri trisquel. Linux ni rafiki kwa old PCs!
 
Ahsante mkuu
 
mkuu kama umeeka bila kuformat means data zako hazijafutika ila zipo mahala tofauti na ulipozoea.

ingia local disk c utaona folder limeandikwa windows old ingia humo then nenda user kisha jina lako utaziona data humo. utahitaji administrator permission.

kuhusu E kuwa reserve hio ni kawaida.

angalia C ina GB ngapi? na E ina ngapi?
 
Back
Top Bottom