engineer rutebuka
Member
- Dec 6, 2018
- 21
- 3
Nimekuwa na tatizo la kusikia vitu vinanichoma choma kwenye vidole vya miguuni na kuisi miguu kuchemka hill tatizo linanifanya nikose hata usingizi naomba mwenye ujuzi anisaidie jamani nateseka mwenzenu
Pombe hata ladha yake siijuiMimi si daktari lakini kulingana na uzoefu, hilo tatizo husababishwa na ukosefu wa vitamin B, ambapo chanzo cha ukosefu huo waweza sababishwa na unywaji wa pombe sana, depression, au magonjwa mengine.
-Kama ni mnywaji wa pombe, kuacha au kupunguza husaidia.
-Tumia dawa za kuongeza vitamin B (Hapa ni vizuri kumuona Daktari)
-Fanya mazoezi kama kukimbia, kuruka kamba n.k
-Shughulikia kama unatatizo linalosababisha depression (mkazo/stress) au muone mtaalam wa hii.
Pia pita hapa kujisomea zaidi https://www.webmd.com/diabetes/burning-feet-causes-treatments