agwambo halisi
Member
- Jan 22, 2014
- 42
- 2
Unawazaje kuformat kompyuta ikiwa na password ya ndani na umeshaisahau msaada tafadhali
Unawazaje kuformat kompyuta ikiwa na password ya ndani na umeshaisahau msaada tafadhali
Ifungue chomoa cmos battery thn chomeka
.
Unayo zungumzia wewe labda simu za Tecno Sio Computer
.
Regards
C++
Sema co issue kk jarib kuwa muungwana huwez kujua kla k2 ndg yng hapa 2naelimishana jarb kufanya utaft ndo uponde au jarbbht kugoogle bac
.
Kaka sio kama naku beza
hiyo CMOs battery unayoisemea wewe..... Ilikuwa ikitumika zamani kaka sahizi hakuna tricks za ku remove BIOS password zaidi ya kukesha na kufanya zero tu
.
Afu ww kama Gray usitegemee sana google old tricks zipo nyingi
.
Mkutu gray hacker, unapofupisha maneno kama hivyo unawapa wengine wakati mgumu, haswa wale wa 50+!
Hapo nmekuelewa kk ungeniambua hvyo cdhan km ningedoubt ila bnafc nlishawah kufanya hvyo na nkafanikiwa na nltoa wazo hlo km njia ya awal 7bu m na ww ha2jui km hyo destktp n ya zaman au la cz njia zpo nyng 2 km kushotsha moterbdy n.k ila point yng jnc ulvyonjb kwa upnd wng labda km ntakuwa nmekuelewa vby ila nmeona umenodharau ndugu yangu cz 2mezngmzia cmpt we unaniambia tecno kweli hapo upo sahihi???
Mkutu gray hacker, unapofupisha maneno kama hivyo unawapa wengine wakati mgumu, haswa wale wa 50+!