Napofungua e meil zangu kwenye simu inaniandiki niingize Out going mail server (enter the IP address or host name of the serve that send your e mail) msaada jamani, ni Ip ipi?
Download Nokia messaging itakurahisishia wewe kuweza kusoma e-mail zako kwa urahisi na utaweza kuwa updated kwa kila msg inayoingia kwenye simu yako kwa Nokia messaging inafanya kazi kama text sms za kawaida.