Sio lazima kuflash kama mimi natumia moderm ya voda k3570-z ila natumia bila hata kuiflash fanya kutafuta humu ndani kuna mtu aliandika jinsi ya kutumia nokia pc na kutumia line zote kama mimi nilivyokuambia hapa nilipo natumia line ya Airtel na mambo yapo kama kawa so fanya kutafuta humu ndani utapata usiende mbali ningekuwa naweza kuweka link ningetafuta then ningekuwekea.