pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,547 Reaction score 4,966 Oct 13, 2015 #1 Nimeweka data column A na B column C nimeweka formula ya average nataka nikopy hiyo formula kwa Ku-drag ili ninapo ingiza data column A na B inipe average column C lakini haileti average. Nifanyaje?
Nimeweka data column A na B column C nimeweka formula ya average nataka nikopy hiyo formula kwa Ku-drag ili ninapo ingiza data column A na B inipe average column C lakini haileti average. Nifanyaje?
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 26,003 Reaction score 96,272 Oct 13, 2015 #2 Jaribu kukopi file zima, usidrag copy file lote kisha paste kwenye new page then futa column a na b, C itajifuta yenyewe na fomula itabakia
Jaribu kukopi file zima, usidrag copy file lote kisha paste kwenye new page then futa column a na b, C itajifuta yenyewe na fomula itabakia
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,568 Reaction score 7,463 Oct 13, 2015 #3 Kama ni average basi formula ikae kwenye hizo columns A & Bana si vinginevyo
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,547 Reaction score 4,966 Oct 14, 2015 Thread starter #4 Jimena said: Jaribu kukopi file zima, usidrag copy file lote kisha paste kwenye new page then futa column a na b, C itajifuta yenyewe na fomula itabakia Click to expand... nimefanya hivyo.lakini kila nikiingiza data column A na B hailet average mpaka niandike formula upya kila cell
Jimena said: Jaribu kukopi file zima, usidrag copy file lote kisha paste kwenye new page then futa column a na b, C itajifuta yenyewe na fomula itabakia Click to expand... nimefanya hivyo.lakini kila nikiingiza data column A na B hailet average mpaka niandike formula upya kila cell