talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Location yako ipo Kigoma.
Kwa mkoa huo niliosoma mie,Nenda SIDO,nahisi bado wako ile njia ya kwenda Mlole Secondary.
Panda daladala za Kwenda Gungu au Mwandiga,mwambie Utingo naelekea SIDO atakuambia pa kushuka.
SIDO watan brands nyingi kwenye links zao,wanaweza kukuelekeza wapi na maduka gani mazuri ya kununua kifaa hicho.
Wengine watakuja kukupa maduka ya moja kwa moja,ila lazima iwe na DAR ila kwa mkoa huo huna option zaidi ya SIDO
Sido hawana mashine hizi hapa Kigoma.... nimetembelea madukani nimekuta za Toyo na zingine brand za kichina. Pia nimekuta HANSGAVNER kubwa yenye bei ghali sana. Pia ni kubwa sana kwa kazi nayotaka kuifanya.
Hiyo ndo best chain saw tena iwe 272 made in Brazil kwa dar ni 1.2mil
Uko sahihi kaka..... ila kwa kusafishia shamba tu nadhani ni kubwa mno. Ingekuwa naenda kupasulia mbao. That would be my first choice!! Pia nalazimika kutafuta ya bei ndogo ili pesa nyingine niielekeze kwenye kuanza kazi. Nashukuru kwa mchango wako ndugu.
Nakuelewa mkuu.... Ila pesa haijatosha!!
hii biashara inalipa sana ukiwa sehemu yenye shughuli za upasuaji mbao.Hii biashara ya chain saw inalipa kiasi gani wakuu?
Isijekua ni fursa nzuri wengine hatuna habari
Mkuu Niko mtwara, naomba unisaidie namba za hao wauzaji, ntashukuru sana ndugu yanguKeko Mwanga Dar mkabala na TEMESA ziko za aina mbalimbalil kwa bei nzuri.
Mimi si dalali wala si muuzaji ila ukitaka nitakudirect.
Kuna mzee huwa ananunua hapo mara nyingi.
Nikumbushe kesho majira ya asubuhi.Alasiri nitapita hapo dukani.Mkuu Niko mtwara, naomba unisaidie namba za hao wauzaji, ntashukuru sana ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakukumbushaje Mkuu bila mawasiliano?Nikumbushe kesho majira ya asubuhi.Alasiri nitapita hapo dukani.
Niko mbali waweza nipatia mawasiliano na wauzaji Mkuu? Ntashukuru sanaNenda ntaa wa india ama baadela pale oilcom karibu na murzah oil utapata
Sent using Jamii Forums mobile app