Mr. Politician Member Joined May 16, 2008 Posts 74 Reaction score 7 Feb 6, 2009 #1 Wakubwa ninatafuta sehemu wanayochora na kufuta tattoo vizuri hapa Dar Anayepafahamu naomba anielekeze.
Wakubwa ninatafuta sehemu wanayochora na kufuta tattoo vizuri hapa Dar Anayepafahamu naomba anielekeze.
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Feb 6, 2009 #2 Mr. Politician said: Wakubwa ninatafuta sehemu wanayochora na kufuta tattoo vizuri hapa Dar Anayepafahamu naomba anielekeze. Click to expand... mkuu mimi ndioa fani yangu lakini nachora wakina dada tu.....
Mr. Politician said: Wakubwa ninatafuta sehemu wanayochora na kufuta tattoo vizuri hapa Dar Anayepafahamu naomba anielekeze. Click to expand... mkuu mimi ndioa fani yangu lakini nachora wakina dada tu.....
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,094 Reaction score 136,666 Feb 6, 2009 #3 Yo Yo said: mkuu mimi ndioa fani yangu lakini nachora wakina dada tu..... Click to expand... dang it.....umeniwahi
Yo Yo said: mkuu mimi ndioa fani yangu lakini nachora wakina dada tu..... Click to expand... dang it.....umeniwahi
Nkamangi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2008 Posts 641 Reaction score 34 Feb 6, 2009 #4 Yoyo and Nyani ngabu, you never cease to amaze me. You must've been very naughty boys in your yester years
Yoyo and Nyani ngabu, you never cease to amaze me. You must've been very naughty boys in your yester years
Mr. Politician Member Joined May 16, 2008 Posts 74 Reaction score 7 Feb 6, 2009 Thread starter #5 Any one else anayefanya it as a serious bizness.
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Feb 6, 2009 #6 Mr. Politician said: Any one else anayefanya it as a serious bizness. Click to expand... Are you mentally OK?
Mr. Politician said: Any one else anayefanya it as a serious bizness. Click to expand... Are you mentally OK?
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Feb 6, 2009 #7 Kuna ukame unakuja huku bongo, na nyie mnataka kuteketeza ela yenu ya ngama kwa kujichorachora? Au ndo yaleyele ya BITOZ NYANGEMA ANATAKA AITWE TUPAKI.?.. π π π
Kuna ukame unakuja huku bongo, na nyie mnataka kuteketeza ela yenu ya ngama kwa kujichorachora? Au ndo yaleyele ya BITOZ NYANGEMA ANATAKA AITWE TUPAKI.?.. π π π
Obhusegwe JF-Expert Member Joined Dec 28, 2008 Posts 231 Reaction score 30 Feb 6, 2009 #8 Yo Yo said: mkuu mimi ndioa fani yangu lakini nachora wakina dada tu..... Click to expand... na ile ya Irene Uwoya we ndo uliichora?
Yo Yo said: mkuu mimi ndioa fani yangu lakini nachora wakina dada tu..... Click to expand... na ile ya Irene Uwoya we ndo uliichora?
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Feb 6, 2009 #9 Kuna jamaa huchora kwenye kijambio uko tayari nikupe contact?
J Jujuman JF-Expert Member Joined Dec 7, 2008 Posts 248 Reaction score 33 Feb 15, 2009 #10 Mr. Politician said: Wakubwa ninatafuta sehemu wanayochora na kufuta tattoo vizuri hapa Dar Anayepafahamu naomba anielekeze. Click to expand... Kwa shida ipi hasa??? KUFUTWA? au KUCHORWA? ama zote KUFUTWA na KUCHORWA?? nasubri jibu nikusaidie.
Mr. Politician said: Wakubwa ninatafuta sehemu wanayochora na kufuta tattoo vizuri hapa Dar Anayepafahamu naomba anielekeze. Click to expand... Kwa shida ipi hasa??? KUFUTWA? au KUCHORWA? ama zote KUFUTWA na KUCHORWA?? nasubri jibu nikusaidie.
M msabato masalia Senior Member Joined Dec 3, 2008 Posts 118 Reaction score 20 Feb 15, 2009 #11 Kuna jamaa mmoja alikuwa anapatikana mitaa ya samora,nyuma ya TTCL house,mbele ya mahakama ya wilaya ya ilala.Ukikosa basi chukua sindano ya kushonea nguo jipinde,tafuta wino au utonvu wa mkorosho,twende kazi.
Kuna jamaa mmoja alikuwa anapatikana mitaa ya samora,nyuma ya TTCL house,mbele ya mahakama ya wilaya ya ilala.Ukikosa basi chukua sindano ya kushonea nguo jipinde,tafuta wino au utonvu wa mkorosho,twende kazi.