Zasasule JF-Expert Member Aug 12, 2009 1,001 103 Oct 28, 2012 #1 HAbari zenu wakuu.... nahitaji msaada. je ni sehemu gani kodi ya ardhi inapolipiwa kwa wilaya ya ilala? na je kwa sasa hv ni kiasi gani hiyo kodi kwa ajili ya nyumba ya makazi. na nyumba ya makazi na biashara?? natanguliza shukran
HAbari zenu wakuu.... nahitaji msaada. je ni sehemu gani kodi ya ardhi inapolipiwa kwa wilaya ya ilala? na je kwa sasa hv ni kiasi gani hiyo kodi kwa ajili ya nyumba ya makazi. na nyumba ya makazi na biashara?? natanguliza shukran