Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 140
Hahaha. Hadi unaandika proposal ulikuwa haujajua unatarget wapi?
Samahani, ni Chit Chat kweli, ila aah! Thread kama izi ni upuuzi mtupu wala hazina mashiko, na kuna watu humu tunakuona ovyooo.. Mwanaume alie kamilika hana utumbo utumbo kama wako. Jipange
Samahani, ni Chit Chat kweli, ila aah! Thread kama izi ni upuuzi mtupu wala hazina mashiko, na kuna watu humu tunakuona ovyooo.. Mwanaume alie kamilika hana utumbo utumbo kama wako. Jipange
Anasema ni kwaajili ya research..
Anasema ni kwaajili ya research..
Kweli mkuu tedo, hebu mweleweshe manoah huyo, charminglady uko wapi utupe uzoefu wa huko mkoani kwenu!!?d
Kuna m2 alniambia pale makoroboi wapo!
But nna kama mara 3 naendapo lkn hakuna lolote can someONE anaweza niambia kama wameisha hamb pale au wako likzo
but
Akhsanten jmn
ngoja nijarbu kuenda hzo sehemu