Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,860 Oct 18, 2017 #1 Habarini Wana JF poleni na majukumu ya kila siku!!!!!!! Kama kichwa kilivyo Wana JF na shida ya kupata vifaranga wa kuku wa kufuga Aina ya Hawa kuku wako kama wa kisasa ila ni wa kienyeji wapi nitapata hapa dsm kwa anaejua anaweza nielekeza Shukrani
Habarini Wana JF poleni na majukumu ya kila siku!!!!!!! Kama kichwa kilivyo Wana JF na shida ya kupata vifaranga wa kuku wa kufuga Aina ya Hawa kuku wako kama wa kisasa ila ni wa kienyeji wapi nitapata hapa dsm kwa anaejua anaweza nielekeza Shukrani