msaada wapi nitapata kioo cha laptop ya toshiba?

msaada wapi nitapata kioo cha laptop ya toshiba?

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
wakuu ni wapi hapa dar naweza pata au kama kuna mtu anacho kioo cha laptop aina ya Toshiba pamoja na housing lake??.

maana laptop yangu kuna mstari umejitokeza kuanzia chini mpaka juu upande wa kulia kiasi cha kufanya picha au maandishi kutoonekana upande ambao kuna huo mstari.
 
wakuu mnaweza angalia picha hizo hapo kwa nazani ndio mtanielewa zaidi na kufaham ni laptop ya TOSHIBA aina gani?
 

Attachments

  • IMG_20140331_192219.jpg
    IMG_20140331_192219.jpg
    368.8 KB · Views: 55
  • IMG_20140331_224724.jpg
    IMG_20140331_224724.jpg
    369 KB · Views: 44
  • IMG_20140331_224657.jpg
    IMG_20140331_224657.jpg
    274.7 KB · Views: 49
Back
Top Bottom