Msaada wapi nitapata chupa za soda?

Msaada wapi nitapata chupa za soda?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,509
Ndugu zangu kama uzi unavoonesha hapo juu nimeamua kutoa fursa nahitaji kreti 50 za kampuni ya pepsi na kreti 50 coca kreti ziwe na chupa ndani.

Chupa bila kreti na kreti bila chupa pia nanunua ukiwa na mzigo mwingi itapendeza sana location Dar es salaam. Karibuni sana.
 
Mkuu nipe tenda nikutafutie

Ova.
 
Ndugu zangu kama uzi unavoonesha hapo juu nimeamua kutoa fursa nahitaji kreti 50 za kampuni ya pepsi na kreti 50 coca kreti ziwe na chupa ndani.

Chupa bila kreti na kreti bila chupa pia nanunua ukiwa na mzigo mwingi itapendeza sana location Dar es salaam. Karibuni sana.
Zipo zinapatikana bei ni 9500 nicheki 0764161048
 
Back
Top Bottom