Chief Wingia JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 2,868 Reaction score 5,105 Feb 10, 2017 #1 Husika na kichwa cha uzi hapo juu, Naomba kujuzwa kuhusu kampuni/maduka, mahali na bei ya hivi vifungashio. Vifubgashio hivi ni kwaajili ya kufanya packaging ya maziwa. Nipo Dar es Salaam.
Husika na kichwa cha uzi hapo juu, Naomba kujuzwa kuhusu kampuni/maduka, mahali na bei ya hivi vifungashio. Vifubgashio hivi ni kwaajili ya kufanya packaging ya maziwa. Nipo Dar es Salaam.