S shughudu Member Joined Jul 9, 2012 Posts 11 Reaction score 0 Mar 25, 2018 #1 Nahitaji kununua livestock mineral mix kwa ajili ya chakula cha mifugo. Wapi naweza kununua hapa Dar. Mfano ni kama hapo chini, si lazima iwe kama hii ila huu ni mfano tuu.
Nahitaji kununua livestock mineral mix kwa ajili ya chakula cha mifugo. Wapi naweza kununua hapa Dar. Mfano ni kama hapo chini, si lazima iwe kama hii ila huu ni mfano tuu.
Kulupura JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,175 Reaction score 1,288 Mar 25, 2018 #2 Ngoja wajeee