Msaada wapendwa

Msaada wapendwa

maisory

Senior Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
118
Reaction score
52
Hbr y uzm wapendwa wangu
Naomba anaye jua namba ya Dr manyau nyau anisaidie
Au mtaalamu bingwa wa mapenzi
Mpenzi wangu amekata mawasiliano anitaki tena uku bd yuko moyoni naumia sana
Nataka mtalamu anisaidie kumrudisha kwangu asitoke awe wangu peke yng nataka tufunge naye ndoa

Matusi, dharau spendi
Unamfahamu mtaalamu waukweli ni pm
Huyu mtu amenifanya ni fanye hivyo sikuwahi kufikria kufanya hiyvo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutaka kuwa mteja wa shetani mkuu utaishia kuwa mtumwa wa ibilisi maisha yako yote

Kama amekuacha shukuru Mungu kuwa hakuwa wako huyo tulia umuombe akupe aliye wako kumng'ang'ania ndiyo mwishoni mnajiua kwa matatizo atakayokupatia. Muache aende hata kama bado unampenda
 
We Jamaa Bana Kwani K Sh Ngapi
Muache Aende Tafuta Mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom