Msaada: WapBuilder

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
1,173
Reaction score
1,358
Habari zenu wakuu, ipi ni wapbuilder nzuri kwa kutengeneza wap site?
Nimetumia wapkiz, wapelf, waptal, wapkah, wapsing, topka, wapkw n.k lakini zote zinamatatizo nimeamua kuachana nazo, lengo langu ni kutengeneza simple forum. so naombeni mnisaidie kama kuna mwenye kujua wap builder nzuri ambayo haina matatizo anisaidie

msaada please!
 
Tumia tu forums za bure kama mybb na phpbb then eka theme nzuri ya simu. Kuinstall wala sio shida maana hosting nyingi inakuwa automatic mule mule.

Demo kama hivi
 
Tumia tu forums za bure kama mybb na phpbb then eka theme nzuri ya simu. Kuinstall wala sio shida maana hosting nyingi inakuwa automatic mule mule.
Demo kama hivi
Shukrani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…