Habari wakuu, kwanza poleni na majukumu. Wanateknolojia naomba maelezo ya kina kuhusu RAM, ROM, CPU,MEMORY, mana nachojua ni RAM is used to store data and program instructions. sijui inafanyaje kazi je hizo data inahifadhi kivipi yani?? mbona kwenye computer sizioni izo data naona local disk C ndo inahifadhi program na data na iyo RAM na ROM ndo zikoje bora RAM nishawah iona......Pili ninavojua compter inafahamu binary language only je kivipi yani na wanasema ukiandika computer ina change to binary language asa nashindwa kuelewa....nna mengi nisiyoyajua mana nimemeza mengi now nataka nielewe nsio kukariri mana najua ku define tu, kuzielezea siwez......Na wenye maneno mengine ya computer wasioyajua waongezee....ahsanteni.