Msaada wanajukwaa

Maelau

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,365
Reaction score
1,343
Kuna huyu binti kacheza wimbo wa "washa" na Barnaba. Kwa kweli kila nikiangalia video ile namzimikia vilivyo. Zile movement anapocheza ni balaa, zinanimaliza kbs. Naweza kupata jina lake?
 
Muulize barnaba mwenyewe atakuunganisha

[emoji375][emoji375]
 
Una hela



Bongo nyoso ndani joto njee baridi
Aaa kwa jinsi ninavyomzimikia, nimejiandaa, najua haiwezi kuwa burebure mkuu. Yaani sijui nimekumbwa na nini tu. Kwa kweli nimempenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…