MSAADA WANAJF KUHUSU MECHI YA CHAD Vs TANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA WANAJF KUHUSU MECHI YA CHAD Vs TANZANIA

Discussion in 'Sports' started by IrDA, Nov 10, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Wadau naomba mnifahamishe kama mechi hii ya Chad Vs Tanzania itakayofanyika tarehe 11/11/2011 kama itarushwa moja kwa moja na kituo chochote cha televisheni hapa Tanzania kwa sababu hawajatangaza.Vilevile nina ndugu yangu yuko Malaysia na yeye anaomba kufahamishwa kama anaweza kuangalia online na ni kwenye website gani?

  Jamani samahani sana kwa kuanzisha thread hii ambayo sina uhakika kama nimeileta panapohusika na kama itakuwa nimekosea basi naomba mniwie radhi wadau.
   
 2. LUS0MYA

  LUS0MYA JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Kwa TV broadcast sina uhakika.lakini kwenye laptop au pc tafadhali visitwe hii, www.scam.com.
   
 3. k

  kinenekejo Senior Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Full time stars 2, chad 1
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...