Mimi nilimaliza diploma in accounting mwaka 2011 nimesaka AJIRA ngumu kupata.sasa mwaka 2016 nataka nikasome je nishaurini nikasomee degree gani ambayo ntapata AJIRA fasta?
Okay KIONGOZI asante kwa wazo zuri ndg yangu na je mda wa hyo application ya special education huwa mwez gan?pia je nikisoma bachelor degree of education in commerce
Jaman Education ni mpango mzima iwe diploma any degree itakuwa kwao. Pole kwa kuhangaika sana karibu kwenye ualimu ajira fast a richa ya maudhi madogo madogo ambayo serikali itayamaliza tu