MSAADA WANAJAMVI

minale

Member
Jul 4, 2018
24
4
habari zenu
nna shida kama tatu iv msaada plz
1.kwenye ajira portal ukiwa unajaza detail zako unaweka vyeti ambavyo vimepita kwa mawakili au unaweka copy ya original ila wakati wa kutuma ndo unaweka vilivyo pitia kwa wakili?
2.barua iliyo sainiwa unasaini vip?
ni hayo tu msaada jamani
 
Unaweka copy ya vyeti ambavyo vimeshapita kwa wakili, na kuhusu barua unaandika aidha kwa mkono au unatype kisha unaprint unaisain halafu unascan ndio unaituma, kwa hapo nadhan utakuwa umeshaelewa
 
Back
Top Bottom