Hivi ninaweza kupost video za watu wengine kwa mfano music,movies or somw thing esle katika youtube channel na nkapiga mitonyo na AdSense kama kawaida au inakuaje kuaje ii wakuu mnweke wazi kidogo jmn

Inawezekana ila tuu isiwe video umeitoa Youtube halaf ukairudisha tena ni kosa kisheria kwa sheria za youtube labda ui edit ndo u upload ila wakigundua wanaifungia. Muhimu andaa video zako au chukua video source nyingine kama Vimeo halaf upload