Msaada wanajamii wenzangu

karavile

New Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
2
Reaction score
0
jamani nna bachelor ya procurement and supply managent:natoka mkoani nimefika hapa jijini toka dec nimezunguka sana kutafuta kazi yoyote ile niko tayar ila jaman mana naish ktk mazngira magum sana kwa yoyote mwenye taarifa wapi naweza pata ajira au kibarua anisaidie natanguliza shukran zangu za dhat kwenu waungwana
 
Pole endelea kupambana ucfe moyo 2po kwny mlolongo mmoja!.
 
Usikate tamaa, endelea kutafuta, mie mwaka wa 3 sijapata permanent kazi,nina degree ya accounts ila sijakata tamaa.
 
Mungu awapiganie Mwaka huu usiishe Mupate kazi,
nawakumbusha mujaribu kufanya application sehemu zote hata ambazo hazijatangaza nafasi,
zaidi andikeni cv vizuri,
lakini zaidi ya hapo tengenezeni network na walioajiriwa.
 
Miaka michache tu iliyopita, wazazi wetu walipewa kazi lakini baadhi wakazikataa wakiwa na tumaini la kulima na kufuga. Leo watu wanatafuta kazi but kazi hazipatikani kilimo ndo hicho hakieleweki. KWELI NIMEAMINI MABADILIKO YANAKUJA AUTOMATICALY
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…