Msaada wanabodi

Joined
Sep 27, 2015
Posts
78
Reaction score
19
Habari za muda huu wanabodi natumaini wazima wa afya, wanabodi wajitokeza kwenu kuomba msaada wa kuifanya blog yangu uweze kujiendesha kibiashara kama kuna mtu anaweza kunisaidia ni jinsi gani naweza kuifanya basi nicheki pm
 
Mmhhhh mara hii tu ianze kijiendesha!!!!
Mkuu ina mashrti yake yaani hio blog iwe na followers labda kuanzia 20000k
Vile vile inatakiwa changanyikeni ya watu wanaingia na kutoka (VIEWS)ktk hio blog
Sasa ili uweze kupata hao watu Create kitu chenye kuweza kuwavutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…