wakutafuta JF-Expert Member Joined May 25, 2017 Posts 239 Reaction score 211 Sep 9, 2017 #1 ndugu wananjamvi naomba msaada wa jinsi ya kuunlock modem mpya ya zantel aina ya D-Link DWM-222 ili itumie laini zote za 4G maana inatumia lain moja tu ya mtandao huo. ASANTENI WANAJAMVI.
ndugu wananjamvi naomba msaada wa jinsi ya kuunlock modem mpya ya zantel aina ya D-Link DWM-222 ili itumie laini zote za 4G maana inatumia lain moja tu ya mtandao huo. ASANTENI WANAJAMVI.