aisee... Kaz ipo kwa kizaz hiki??
Msaada wako mkuu
una hangover ya nini?Haki Mungu mzinga we konyagi uko wapi nizimue... mahisi na hangover duh
Habari za wikiendi wadau.
Nina mpenzi Wangu kamaliza hedhi Siku ya Jana sasa yeye anataka tugegedane Leo.
Nimekuja kuomba ushauri kwa wanaofahamu ni baada ya muda gani baada ya mwanamke kumaliza hedhi anaweza kufanya mapenzi.
Ahsanteni, karibuni kwa ushauri!!