Msaada wana MMU!!

Msaada wana MMU!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,364
Reaction score
27,755
Habari za wikiendi wadau.

Nina mpenzi Wangu kamaliza hedhi Siku ya Jana sasa yeye anataka tugegedane Leo.

Nimekuja kuomba ushauri kwa wanaofahamu ni baada ya muda gani baada ya mwanamke kumaliza hedhi anaweza kufanya mapenzi.

Ahsanteni, karibuni kwa ushauri!!
 
aisee... Kaz ipo kwa kizaz hiki??
 
Acha uzinifu. Jpli yote hii unawaza ngono zembe.
 
Haki Mungu mzinga we konyagi uko wapi nizimue... mahisi na hangover duh
 
Ukitaka kujua ni baada ya mda gani usimgegede,,,uone
 
Habari za wikiendi wadau.

Nina mpenzi Wangu kamaliza hedhi Siku ya Jana sasa yeye anataka tugegedane Leo.

Nimekuja kuomba ushauri kwa wanaofahamu ni baada ya muda gani baada ya mwanamke kumaliza hedhi anaweza kufanya mapenzi.

Ahsanteni, karibuni kwa ushauri!!

Go ahead
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom