msaada wana mmu...

msaada wana mmu...

mjukuu.

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Nimependezwa kuleta jamvini swala hili nina jamaa yangu mtu wa karibu ambaye nayafahamu maisha yake kiujumla..

issue ni kwamba msela akimface dem at the first time huwa anampenda na kujipangia makubwa atakayofanya kwa huyo manzi..

ila jamaa akishapata mzigoara moja huwa hamu humwishia yakuendelea kuishi na huyo dem ka mpz wake badala yake humtengenezea visa na kumtema..

afu jamaa hupata bahati ya kupendwa...plz msaada hapo je huo ni igonjwa au ni kawaida ktk maisha...

nawasilisha.....
 
huyu kwanza ana umri gani?

mwafrika aliulizwa na mzungu hivi kwa nn ninyi waafrka mkiulizwa maswali huwa nanyi mnauliza mwafrka akanibu kwani we hayo maneno umeyasikia wapi...

naona unataka kukusanya DATA



nawaclisha......
 
mwafrika aliulizwa na mzungu hivi kwa nn ninyi waafrka mkiulizwa maswali huwa nanyi mnauliza mwafrka akanibu kwani we hayo maneno umeyasikia wapi...

naona unataka kukusanya DATA



nawaclisha......

Wewe una umri gani?
 
Dah wakuu hv umri ndo kigezo au sijasanda.....!!!!!!!
 
Huyuu jama..ana cover hatua zake..huwez jua kila kitu kwa msela..i thnk u tryn kusema smthng bot i bt unatumia taswila ya msela wak..nway jamaa anatatzo la saikolojia may be achek historia yak kidgo abot mahusian na mapenz...n kama aliwahi masterbat kipnd cha nyuma
inawezekan akadhan kuwa ni akisha sex na gal ndo humuon hafai kumbe sio. Kuna tatzo hapo akutane na mshauri afunguke atapata msaada....eti msela hahhah
 
Back
Top Bottom