Sawa mkuu kama unayo Es explorer na mwenzio pia anayo. Basi
Fuata hizi hatua.
1-Fungua es xplorer na mwenzio pia afungue es xplorer
2-bonyeza menu ya es explorer itategemea kwako ipo upande wa kulia au kushoto kulingana na simu.
Na mwenzio nae afanye hivyo hivyo
3-katika menu ya es xplorer tafuta neno network na mwenzio afanye hivyo hivyo.
4-fungua hilo neno network kisha teremka chini angalia neno net manager na mwenzio afanye hivyo hivyo.
5- fungua neno net manager kisha mwenye kifurushi cha mb yeye abonyeze create hotspot network.
Na mwenzio abonyeze join network. Kama inavyokuwa kwenye bluetooth sasa wakati mwenzio anajoin net work atachagua network yako kulingana na jina ulilojiandikisha akichagua ataulizwa passwaord na password inakuwa hapo hapo una msomea anaiandika kisha ana bonyeza neno conect.
6- done umemaliza.
Angalizo kabla ya yote haya nenda kwanza kwenye setting ya simu then hotspot angalia je umeiweka iwe on muda gani ili isisumbue kila mara i set always.