Na mie naomba kuuliza Simu yangu nikiingia JF upande wa notification ninazopata ni private message tu lakini quotes sizion kama zamani. Though napata notification kuwa kuna MTU kani quote je, kuna namna ya kuset ili ziwe zinaonekana
Hahaha!! wakuu msiwe paranoid sana, majukwa ya siasa yalianguka kipindi cha uchaguzi maana Wakenya wengi tuliyatumia kwa kuendeleza chuki. Haswa lile la Bungel la Mwananchi na Mashada. Kwa Wabongo sioni sababu ya kuharibu jukwaa, maana hamna migawanyiko mingi.
Halafu vipi team Lowassa naskia imeshika mwendo, jameni mchagueni huyo jamaa anafahamika kwa kutenda kazi na anakubalika na pande zote.