pole mkuu, ushauri huo hapo juu, naongezea tu kabla hujanunua hardware yoyote nenda kwenye site ya lg uangalia uwezo wa mwisho wa pc yako kubeba HDD na RAM (EXPANDABILITY), kama ww hauko handy na star ndogo basi nenda nayo dukani unakonunua hizo hardware watakuwekea Bure, usinunue tu hvhv RAM zingine zinaweza ziskubali kwako! Most of rams and hdds ni plug and play baba, unachomeka na kufunga tu kisha muziki juu.