Msaada wana JF

Msaada wana JF

Mko katika mahusiano kwa muda gani? Nilivyoelewa kakwambia ana mtoto baada ya kuona hatua za kupeleka posa.

Kitu kingine baadhi ya wanawake ni waigizaji wazuri hasa linapokuja suala la ndoa, kuwa makini.
 
8months lkn aliniambia kuwa alipatwa n mtihn
Mko katika mahusiano kwa muda gani? Nilivyoelewa kakwambia ana mtoto baada ya kuona hatua za kupeleka posa.

Kitu kingine baadhi ya wanawake ni waigizaji wazuri hasa linapokuja suala la ndoa, kuwa makini.
8months lkn aliniambia kuwa alipatwa n mtihn kam huo 1 month ndo tuaanza mahusiano lkn mpk Leo miez7
 
Haaaaaa kuna jamaa kanikatia RB hapa nimeenda kumuona mtoto wangu kwake hii kitu mbaya bro yani kuoa mwanamke mwenye mtoto labda mumewe awe amekufa na uone kaburi
 
Muoe tuu haina, hiyo ya kupigwa mimba tena form 4 isikutie shaka alikua na akili za kitoto na ni mistake ikitokea, unless kama hujampenda maana hii sio issue kama kweli umefall in love kwake.

Kupigwa mimba ni akili za kitoto???
Acha upumbavu wewe kuhalalisha masingle maza waolewe kwa sababu za kijinga.
 
Unaweza ukamtafuta Asiye na mtoto Ukaja kujuta baadae. Mapenzi ni kama maua huota popote. Km mnapendana na ushamuelewa tabia yake fanya maamuzi ya kumuoa. Km ni makosa alifanya Zamani Sasa kajirekebisha na anajitambua hawez Kurudi Kosa

Wewe Beef Lasagna acha kuhalalisha vilivyoharamishwa. Halafu wewe ni Muislamu kabisa. Nashangaa unatetea upumbavu kama huu.
Mwanaume anaanzaje kuoa mwanamke alozini akazalishwa.
Siwezi kuoa mwanamke mzinifu alozalishwa kamwe. Never. Ever. Forever.
 
Tabia Zak n njema ameishika dini vlivyo lkn nahitaji kujua ni chanagamoto zipi walizonazo wanawake Wenye watoto wakiwa kwenye ndoa

Wewe Rama Q acha uboya wewe.
Angekua ameshika dini vilivyo asingekubali kuvuliwa chupi na kuzini kama haitoshi hadi anazalishwa.
Hapo hakuna mshika dini.
 
Tabia Zak n njema ameishika dini vlivyo lkn nahitaji kujua ni chanagamoto zipi walizonazo wanawake Wenye watoto wakiwa kwenye ndoa

Tatizo lile jamaa lililo mkimbia likirudi kwa magoti na kumlilia uyo mama na mtoto wake, wanawake huwa wanahuruma sana.. jipange kisaikolojia tarajia siku moja kusikia jamaa karudi anataka mwanae..
 
Wewe Rama Q acha uboya wewe.
Angekua ameshika dini vilivyo asingekubali kuvuliwa chupi na kuzini kama haitoshi hadi anazalishwa.
Hapo hakuna mshika dini.
Unajua mkuu MTU anapojikwaa ndo huwa anangalia ni wapi aegemee baada yakuzaa ndo akapata kuishika dini vilivyo Hata kwao wamwishika dini vyema lkn yy alipomaliza shule ikabdi akamtembelee kak ake ndo ikawa hvyo
 
Malezi ya mtoto yapo kw wazaz wake toka mjamzito- Leo baba wa mtoto hajulikan
 
Tatizo lile jamaa lililo mkimbia likirudi kwa magoti na kumlilia uyo mama na mtoto wake, wanawake huwa wanahuruma sana.. jipange kisaikolojia tarajia siku moja kusikia jamaa karudi anataka mwanae..
Yeah usemalo nkweli lkn mtoto ataishi kwao na malezi yapo kwa wazazi wake japo ganji lazima kupigwa
 
Yaani bora wewe mahusiano yao hayapo tena mimi wangu wanawasiliana mara kwa mara.
Siku ya birthday ya Mtoto nikamnunulia keki kama surprise nafika nyumbani simkuti mtoto wala mama napiga simu ananijibu.

"Baba J.... kaja kutuchukua tunaenda kusherehekea"

Huyo binti we oa kabisa
 
Me hajulikan 4yrs ago
 
Back
Top Bottom