RamaQ
Senior Member
- Nov 10, 2015
- 136
- 115
Mchumba niliyepata anavyote vigezo nitakavyo kasoro hazikosi Tatizo ni moja2 Alipigwa mimba wakati anamaliza 4M4 Ana mtoto nami Nilikuwa via hatua za kupeleka PoSa lkn imebdi awe muwaz ukimuona huwezi mdhania kbsa!!!naomben ushauri jaman mnipe n chanagamoto zipi walizonazo wanawake Wenye watoto mtoto wake Ana umri 4yrs jamaa nilililompa mimba liliikimbia hata mawSiliano lilitupilia mbali malez ya mtoto yapo kwa wazaz wake'''