Msaada wana jf

Msaada wana jf

Wikiliki

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
528
Reaction score
141
Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia youtube downloader ninaomba anisaidie, pia ni URL ZINAZOKUBALI.Asanteni sana.
 
Mkuu almost kila video iliyondani ya youtube inaweza kuwa downloaded na youtube downloader copy and paste link ya hiyo video unayotaka kudownload.... Ukiona inashindwa jaribu ku-update hiyo downloader yako... nadhani version current ni 2.7.2 hii haishindwi kitu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom