kashikashi
Member
- Jan 20, 2014
- 14
- 0
Kila ninaposex nachelewa kukojoa(kupizi)kwa goli la kwanza linanifanya nichukue hata Dk40 na linalofuata sasa dah...adi mimi mwenyewe nahisi ni kero kwa mwanamke naweza kwenda hata saa 1na dk45 adi 2 ndio nipizi na alafu nikisha pizi mwanamke akinigusa tu uume kidogo tu usimama na kutaka tena naombeni msaada kama kuna uwezekano,najua wengine ni madaktari.