simu yangu ni Samsung Galaxy ace program ya youtube niliifuta ili nilivyo kuja kuidownload tena upya haisomi inaniandikia kama ilivyo hapo sijui tatizo n nn msaada
ujue app za google hazidownloadiwi bali huflashiwa na inategemea na package uliyonayo. kama uliitoa kwa njia ya kuroot huwez irudisha hadi uiflash hio app.
jaribu hizi app zitaleta youtube kwenye simu toa hio, ni official sema zimekua modified zidownload.