ng'wibo chuma
Member
- Apr 3, 2014
- 24
- 4
Naomba msaada kwa anayeijua pride tz, Je, ni kampuni ya uhakika kuifanyia kazi? na inawajali wafanyakazi wake?..
Pliiz msaada wenu kwa anayeijua vzr
Pliiz msaada wenu kwa anayeijua vzr
Umeitwa kazini mkuu, maana wenzio washapigia simu wakachukue barua zao, any way utakuwa miongoni mwao, Hii taarifa ni ya kweli na si jokes ndugu yangu alifanya saili zote mbili (written & oral) kapigiwa simu since last week akachukue barua na kituo chake cha kazi ni Masasi..
kinachonishangaza ni kwamba hakuna haja ya kupondea kama huna jibu la swali..hili ni jukwaa huru kwa mtu yeyote..nimeomba msaada ilipaswa msaidie na sio kutoa kashfa waungwana..
thanks anyway
Umeitwa kazini mkuu, maana wenzio washapigia simu wakachukue barua zao, any way utakuwa miongoni mwao, Hii taarifa ni ya kweli na si jokes ndugu yangu alifanya saili zote mbili (written & oral) kapigiwa simu since last week akachukue barua na kituo chake cha kazi ni Masasi.
asaante mkuuPride ilikuwa nzuri zamani ndugu yangu..wafanyakazi wengi wameondoka na kujiunga na taasisi zingine za fedha kama utt na zingine.kama mfanyakazi unaruhusiwa kukopa mara 3 ya mshahara wako na unatakiwa kulipa ndani ya miezi isiyozidi 12..na wana mikopo ya aina mbili..ya rent na general.sasa kwa wewe unayeenda kuanza hutopata huo mkopo mpaka probation iishe na ikiisha hadi uipate hiyo barua ya kuthibitishwa umejuta.wanaothaminiwa ni wale walio makao makuu na zonal managers tu.wengine ni njaa asikuambie mtu.sikukatishi tamaa lakini nimekupa uzoefu wangu huko nimekaa miaka miwili nimeacha kazi mwezi wa 7 mwaka huu.so nenda labda wewe utaridhika kwasababu mahitaji tunatofautiana.all the best ndugu