samahan wana jf kwamfano mwaka wa kwanza akibahatka kupata mkopo toka bodi ya mikopo kwa asilimia mia ni gharama zp atahtajka kuzilipa anaporipot chuo?na ile pesa ya matibabu kwa wale wenye bima ya afya inakuaje?msaada tafadhari

udom kama ni direct coast haizidi laki tatu kwa mwaka but ada inategemea na college uliyopo mfano
college of Education wameonyesha laki 7 exept wale wa science

sina shaka wewe bado fresh from school limbuken na maswala ya vyuo ndomaana unakejeli baadh ya vyuo,hujui maisha na hujui kuwa utakapomaliza hapo mkwawa unaweza ukawa chni ya aliemaliza ktk vyuo unavyovibeza au ukasota mtaan na waliomalza ktk vyuo vya kata kama unavyoviita wakawa wanapokea cv zako na kuziweka kushoto na kukupa ahadi kibao za njoo kesho,nakushaur ujasibu kuwauliza waliokutangulia kwasababu wanajua meng zaidi yako,natamani siku 6ja nikuone kijana,i hope itakuwa hvyo sababu home ni ilala ya iringa jirani kabisa na mkwawa chuo.
udom kama ni direct coast haizidi laki tatu kwa mwaka but ada inategemea na college uliyopo mfano
college of Education wameonyesha laki 7 exept wale wa science
mda kama huu ulitakiwa uwe MILEMBE na wenzako nashangaaa upo huku! au cku hizi uongozi wa Hospitali umeweka huduma ya internet kwa ajili ya kuchezea wagonjwa? Hongera JK hadi Vichaa wanauwezo mkubwa kutumia internet...Kama kweli una akili Timamu sioni 7bu ya kubeza chuo cha mwenzako. ONYO>ctaki kurumbana na ww mimi sio level yako